Top Songs By Billnass
Credits
PERFORMING ARTISTS
Billnass
Performer
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholas Lyimo
Composer
Raymond Shaban Mwakyusa
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Yani kwanini nku-block
Utaonaje ninavyoringa utaonaje
Nasema kwanini nikublock
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyoringa utaonaje
Utaonaje
Utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje ninavyovimba utaonaje, utaona
Niko kwa flight nasubiri ku-depature nikikublock utaonaje sasa, maisha pombe na muziki kam darasa, nikitoka dubai natua Mombasa
Ex wangu amuone dem wangu wa sasa jinsi alivyo takata, vile tulivyojipata, siatajifia na kifafa
Nikublock nikublock kitu gani, unataka kuroga nenda karoge pangani, nikublock nikublock kitu gani, maneno ya mkosaji eti malipo ni duniani
Kwanza mimi mwenyewe mnati, navotamba watoto hawatambi
Wanaonichukia nawazidi hadi dhambi, baba na familia halafu mama Nandy
Mwambie kanibless Mungu Jah, na bahati sina gunduja, upepo mwanana Zanzibar, alafu aliyenitukana yuko Mwindeba
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Yani kwanini nku-block
Utaonaje ninavyoringa utaonaje
Nasema kwanini nikublock
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyoringa utaonaje
Utaonaje
Utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje, ninavyovimba utaonaje, utaonaje
Najua una bando kama hauna sema nikutumie, nataka post majigambo ili wachawi wote ndio muumie
Wanaoomba nifeli, nataka salamu ziwafikie, niko vizuri kwelikweli acha na watu waingie
Nazidi kung'ara ukiniombea mikosi, ufukara sina sasa nipo kiboss, bata kila siku sio mpaka jumamos, najua hujala ila nataka post misosi
Oya wachawi nishanunua gari nishanunua nyumba hapo vipi hapo vipi, mnao niroga Pemba huku nishajenga hapo vipi, hapo vipi
Mwambie kanibless Mungu Jah, na bahati sina gunduja, upepo mwanana Zanzibar, alafu aliyenitukana yuko Bunjuda
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Yani kwanini nku-block
Utaonaje ninavyoringa utaonaje
Nasema kwanini nikublock
Utaonaje ninavyovimba utaonaje
Asa kwanini niku-block
Utaonaje ninavyorimba utaonaje
Utaonaje
Utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje, utaonaje ninavyovimba utaonaje, utaona
Written by: Raymond Shaban Mwakyusa, Salmin Kasimu Malengo, William Nicholas Lyimo