Lyrics

Ni mzuri mashallah!
Ndio wangu nguli kwenye raha
Na tuli nishakaa
Sitaki mafedhuli abadani
Akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyee
Dhaili kwa penzi lako tamu mama nakili sijiwezi
Akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyee
Dhaili kwa penzi lako tamu mama nakili sijiwezi
Boom shalalala lala iyee
Unanifanya tamu nisikie
Boom shalalala lala oyeee
Juu mpaka chini we ni wangu mie
Boom shalalala lala iyee
Unanifanya tamu nisikie
Boom shalalala lala oyeee
Juu mpaka chini we ni wangu mie
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Duh ninayemtaka humu ndani ni wewe
Najua mwenye ladha ya pekee ni wewe
Kama vile mtoto umeshuka aisee
Ukitazama figure na number iko bye! Eh
Sijaona ambaye anatamba
Funga kilemba sio khanga
Mchezo si ule japenga
Mtoto Katanga na pemba
Akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyee
Dhahili kwa penzi lako tamu mama nakili sijiwezi
Akili umeiteka vyema mpaka na mwili oyee
Dhahili kwa penzi lako tamu mama nakili sijiwezi
Boom shalalala lala iyee
Unanifanya tamu nisikie
Boom shalalala lala iyee
Juu mpaka chini we ni wangu mie
Boom shalalala lala iyee
Unanifanya tamu nisikie
Boom shalalala lala iyee
Juu mpaka chini we ni wangu mie
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Biz babylon
Mapenzi tilalila
Nami nipo BWI bwax
Unanirusha kama mpira
Nidondoke kwenye nyasi (nipeleke)
Kama gia mbele nyuma kwa reverse
Na nimerelax ujaniua kwa risasi
Umeniua kwa mapenzi na silipi kisasi
Ninachotaka ni nafasi
Vicheche tena basi
Mapenzi na mitikasi
Kula tule gonga glass
Yes lasi hakuna wasiwasi
Eh nichanganyie madawa
Nichanganye na akili
Nile bila kunawa
Kamoja tu nimepagawa
Nipe tena cha pili tuende sawa
Bila go tu naisi ninamabawa
Kwa iyo nikiwa na mtoto sihitaji chawa
Eh! sihitaji chawa
Ah! mambo yote sawa
Boom shalalala
Boom shalalala
Boom sha
Boom sha
Boom shalalala
Boom shalalala
Boom sha
Boom sha
Boom shalalala lala iyee
Unanifanya tamu nisikie
Boom shalalala lala iyee
Juu mpaka chini we ni wangu mie
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Nshalewa, nshalewa mie
Kwa raha zako me mbele sioni
Written by: Said Seif Ally
instagramSharePathic_arrow_out