Credits
PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
Lyrics
Ati moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro
Na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo
Kweli mwali mwali nimefollow
Shida ya upendo uko moyoni, natamani nikuonyeshe ila hauonekani
We my sweeti my hani bani nimependa kweli sio ku having fun (Ouwoo oh)
Ooh darling, darling sweeti-sweeti
Ile mida flani ndani tukwichi kwichi
Couple imeshanoga na twiti-twiti
Haujaniova saizi yani fiti-fiti wee
Jipinde
Na kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
Jipinde
Na kama unajikunja mama una chutama kama unakunja kidogo
Jipinde
Aawe aaye awee baby
Jipinde
Awee aaye aawe baby
Jipinde
Uh no-no-no olea
Houwo wowo lee
Njoo nikupe kipande cha muwa (Awe)
Na ninavyo kupenda siunajua (Awe)
Vile huwezi kujishauwa kama kiuno kata kama nyonga teuwa (Awe)
Mafuta nikupakaze kwa zako nywele
Hadi lips nauli usije dengua binuka utamu nipate
Kwenye pete ninase nikupe yote sipimi
Ati na tuimbe doli-doli-doli kwa yako migandisho makamu doli
Eeh doli ah doli-doli maana mapenzi popote hata ikiwa kwa poli eeh
Darling, darling sweet sweet ile mida flani ndani tukwichi kwichi
Couple ishagonga na twiti-twiti
Haujaniova saizi yani fiti-fiti wee
Ah kama unainuka mama unainama nyosha mugongo kidogo
Jipinde
Ah kama unajikunja mama una chutama kama unakunja kidogo
Jipinde
Aawe aaye awee baby
Jipinde
Awee aaye aawe baby
Jipinde
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga