Music Video

Stamina ft Phina - YULE (Official Video)
Watch Stamina ft Phina  -  YULE (Official Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Stamina Shorwebwenzi
Stamina Shorwebwenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
BONVENTURE ELIUTER KABOGO
Songwriter
Emmanuel John
Emmanuel John
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Emmanuel John
Emmanuel John
Producer
Independent artist
Independent artist
Producer
TML
TML
Producer

Lyrics

Basi usiombe hela ya kucha, ubandike mkononi, naomba uniombe picha, unibandike moyoni
Nachokumbuka tu ex ni kile kiuno kigumu, labda na ile siku alivyoniwekea sumu, na sikufichi mama, acha niseme umeniweza
Wakitaka uniteme we ndo kwanza unanimeza, you are my sweet momy angel, sweet mama mjengo yani sweet wamasweet kwenye usweet wa mapendo
We ndio remote controller, nikizima unaniwasha bila umeme kama solar
Alafu na icho kiuno dondola, utasema mungu Baba uko mbinguni alikuchora
Relax mama, halafu be humble, ata wakija wavuvi waambie umevutiwa na chambo
Usiwasikilize mawifi na mashosti wana vijembe
Mapenzi ni mchuzi wamoto waache nzi walete mbwembwe
Siwezi kukuumiza, mi sina pakwenda, umenituliza fanya unavyopenda
You are my only one, wanga watukomee vile vyovyote kwako sina ajenda
Nitamdhulu yeyote yule (Yule), yeyote yule (Yule)
Nitamdhulu yeyote (Yule), yeyote yule (Yule)
Ndio maana ukiniita huwa nacome kiujuzi, penzi lako guitter so chunga nisikate nyuzi
Alafu nikikupa muhindi kula mpaka bunzi, Gheto ukikatika umeme acha kiuno kiwe fuzi
Nikipiga simu naomba nikupate kwenye laini (Laini), twende sehemu twende tunywe hayo miwine (Wine)
Tukitoka mtoko naomba basi ushine (Shine), fujo kwa wanoko wajione wao mashwine (Shwine)
Unataka nini ili usitekwe na matozi, unataka kunichuna basi njoo nikupe ngozi
Twende kwa wazazi ili penzi walibres, nina vingi vya kukupa kwa nini nikupe stress
Ukinipiga kofi shavu la kushoto nitatulia sitalia, nitacho fanya nitakupa na kulia
Ata wakiniona bwege relax tatizo nini, maana ukifeli figo mi nitatoa adi maini
Siwezi kukuumiza, mi sina pakwenda, umenituliza fanya unavyopenda
You are my only one, wanga watukomee vile vyovyote kwako sina ajenda
Nitamdhulu yeyote yule (Yule), yeyote yule (Yule)
Nitamdhulu yeyote yule (Yule), yeyote yule (Yule)
Ona nitawaka moto balaa, usithubutu kinipande kichaa, ninavyo kuthaminii nitakufaa juu yakoo weewee
Nitamdhulu yeyote yule (Yule), yeyote yule (Yule)
Nitamdhulu yeyote yule (Yule), yeyote yule (Yule)
Yeyotee, yeyotee yulee, (Yulee), yulee, yule
Written by: BONVENTURE ELIUTER KABOGO, Emmanuel John
instagramSharePathic_arrow_out