Lyrics

[Chorus]
Ananipenda nikinuna-nuna ananibembeleza
Ananipenda, moyo ushazama kwake eti umeniweza
[Verse 1]
Wengi wanasema ni ushamba kupenda ama kupendwa
Ila leo nataka niwaambie
Wala sioni kama ni ushamba kupenda usipopendwa
Ila aah leo acheni niwaambie
Akinuna siwezi kulala moyo unaniuma
Na nakosa raha namuwaza yeye
Nikinuna hawezi kulala moyo unamuuma
Anakosa raha ananiwazaa, ameitawala akili
Namdhibiti anidhibiti eeh (Alipo nipo nami nilipo yupo), oh ananipenda
[Chorus]
Ananipenda nikinuna-nuna ananibembeleza
Ananipenda, moyo ushazama kwake eti umeniweza
[Verse 2]
Eti aasema akinywa maji, ananiona kwenye glasi
Nami samaki ye ndo majiampatia-nampati
Mi mwenyewe siwezi kula, honey chakula hakipiti
Hata nikikunywa maji ananipatia-ananipatia
Aah kama sio mimi niwapi angepata faraja anajiulizaa
Na kama sio yeye ni wapi ningepata faraja mi najiulizaa
Anapendaga aah kila mara anione eeh, (Alipo nipo nami nilipo yupo), aah nasema
[Chorus]
Ananipenda nikinuna-nuna ananibembeleza
Ananipenda, moyo ushazama kwake eti ameniweza
Ananipenda nikinuna-nuna ananibembeleza
Ananipenda, moyo ushazama kwake eti ameniweza
Written by: Abbah Process, Marioo, Platform
instagramSharePathic_arrow_out