Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Platform
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Platform
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
O.Right
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Uliniambia kwambaa
Mwendo umeumalizaa
Tena kabisa na dhamiraa
Na viapo ukaapiaa
[Verse 2]
Ulimaanisha kwambaa
Safari yako umefikaa
Tena kwa dhati na niaaa
Moyoni nikakulidhiaa
[Verse 3]
Mbonaaa
Penye niaa imekosekana njiaa
Eeh, niliamini nachopataa
Ndo nitakachovunaa
[Verse 4]
Kumbee
Ulipangaa aah, kabisa kunimalizaa
Eeh
Ila nami najuaa, hili nalo litapitaaa
[PreChorus]
Japo uliniaminishagaa
Mapenzi yako ni dawaa
Umekuwa mwiba mbayaa
Kidoleni umenichomaa
[PreChorus]
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Mapenzi why aah
[Chorus]
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Mapenzi why aah
[Verse 5]
Mmh yeeyeyeeh
Nilijaza kibaba nikiaminiii
Kidogo changu angethaminii
Kumbe ni sawaa namuomba lift
Kabla safari akanishushaa
[Verse 6]
Ile kushindana upepo mimi benderaa
Kwangu mateso yamenikuta konderaa
Sikujali niliamini ni mapenziii
Ambayo kwake yalishaishagaa
[PreChorus]
Japo uliniaminishagaa
mapenzi yako ni dawaa
Umekuwa mwiba mbayaa
Kidoleni umenichomaa
[Chorus]
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Mapenzi why aah
[Chorus]
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Uuh why why why why
Mapenzi why aah
Written by: Platform