Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bruce Elias Sanane
Bruce Elias Sanane
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Wambaga
Wambaga
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Safari yetu ya mapenzi
Oh my babe
Sio siri tutaona mengi
Kuwa ready
We tukaze roho, kuachana no
I will be your comando
[Verse 2]
Nishafanyiwa ushenzi
oh my babe
Kwako nimepata ukombozi
Yes I'm ready
Kukupa yangu roho, na vyangu vyote girl
Bila wewe sitoboi (Sitoboi)
[PreChorus]
Natangaza nakupenda sio mbaya
Sio dhambi, hakunaga ubaya
Kuzama penzini nawe
Ongeza tena nipagawe
Your my melody and I sing alone
Badman I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
[PreChorus]
Siri tuzitunze nje sio sawa
Tukipishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi nawe
Upendo kati yetu utawale
Your my melody and I sing alone
Badman I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
[Chorus]
Ooh my love (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Umenikamata (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Mganga gani huyo (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Now I sing alone (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
[Verse 3]
Iwe mchana usiku tukikosa mkate wa siku
Tuwe na imani tu mwayaa yaa
Anayetoa ni maulana, oh my love
Wabaya wapo usiwaskize
Maneno yao tuyapuuzie yeh-yeh
Hio tuyapuuzie yeh-yeh
[Verse 4]
Mwenzako kwako kolo kolo (Kolo)
Uendapo nitafollow (Follow)
Sitarudia viporo, to
Kwako napata vinono nohs
Yaani fainale
Nipo nyang'anyang'a sina hale
Nikiugua daktari yeh-yeh (Daktari)
[PreChorus]
Natangaza nakupenda sio mbaya
Sio dhambi, hakunaga ubaya
Kuzama penzini nawe, ongeza tena nipagawe
Your my melody and I sing alone
Badman I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
[PreChorus]
Siri tuzitunze nje sio sawa
Tukipishana ndani ya kaya
Tuyamalize mimi nawe
Upendo kati yetu utawale
Your my melody and I sing alone
Badman I sing alone
We umenikaa moyoni, umenijaa rohoni
[Chorus]
Ooh my love (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Umenikamata (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Mganga gani huyo (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Now I sing alone (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
[Chorus]
Ooh my love (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Umenikamata (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Mganga gani huyo(Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Now I sing alone (Uuh-uuh uuh, uuh-uuh uuh)
Written by: Bruce Elias Sanane, Kawiche Frank, Siraju Amani
instagramSharePathic_arrow_out