Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Marioo
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Sky
Sky
Composer
Sweetbert Charles Mwinula
Sweetbert Charles Mwinula
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sky
Sky
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Sina baya na wewe wala sijakukunjia
Ila sometimes hasira si unajua wanadamu
Sina noma na wewe wala sijakununia
Ila nakublock kwasababu nikikuona nakosa hamu
[Verse 2]
Ya kula hata kulala
Mwenzako kazi nashindwa hata kufanya
Umeniroga wapi wewe aah
Nashindwa kula wala kulala
Mwenzako kazi siwezi hata kufanya
Umeniroga wapi wewe aah
[PreChorus]
Hapana hujaniroga hujaniroga
Labda penzi tu lilinoga
Nikakupenda kiukweli ukweli
Ikaingia aah
[Chorus]
Nikazama
Nikazama
Nikazama
Nikazama
[Verse 3]
Likitajwa jina lako ooh moyo wanidunda ooh
Yanijia sura yako ooh bado
Siwazi kurudiana sitaki turudiane
Ila sipendi kubakia na dukuduku rohoni
[Verse 4]
Tulipendana kwa shida
Tukaachana kifala sawa ah
Japo nililia hadi ndugu
Wakasema umeniroga
[PreChorus]
Hapana hujaniroga, hujaniroga
Labda penzi tu lilinoga
Nikakupenda kiukweli ukweli
Ikaingia aah
[Chorus]
Nikazama
Nikazama
Nikazama
Nikazama
Written by: Marioo, Sky, Sweetbert Charles Mwinula
instagramSharePathic_arrow_out