Top Songs By Marioo
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marioo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Songwriter
Kanibal
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Kanibal
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Mungu ndio mtaalamu
Mtaalam wa kumatchisha
Ndo maana akaamua kunipa wewe eeh
Ona tulivyomatchisha
[Verse 2]
Ah Mungu, fundi
Mungu kalifinyanga
We mzuri hauna mapepepepe
Na mi magenta sinanga
[Verse 3]
Moja, mbili
Na tatu, namba zote za kwako
Oh, mi kama maji mtungini
Sina makandokando
[PreChorus]
Ah baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake
Eh, sifurukuti, siruki
Ndege ina mti wake
[PreChorus]
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishapatikana, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
[Chorus]
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua eeh
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
[Bridge]
Mmh, mmh
Mmh, mmh
Mmh, mmh
[Verse 4]
I wish ningekuwa na uwezo
Nimjengee mamake, nyumba kali Mombasa
Mama mzazi maa
Anaweza akaweza tena
[Verse 5]
Ningekuwa na uwezo ningemletea babake
Nataka Verosa
Baba mzazi maa
Waweza
[Verse 6]
Maana ingekuwa mapenzi
Safari, safari
Muda huu niko Kigoma mwishowe
Ah
[PreChorus]
Oh baby mimi na wewe
Ni mtu na mtu wake
Eh, sifurukuti, siruki
Ndege ina mtu wake
[PreChorus]
Mimi na wewe
Mtu na tamu yake
Nishajipata, sijapatikana
Na kama inanyesha inyeshe
[Chorus]
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua
Huku nataka nikumbatiwe mimi
Mvua nyesha mvua
Ooh mvua
Mvua nyesha mvua eeh
Unataka nipetiwe mimi
Mvua nyesha mvua, mvua
[Outro]
Mmh, mmh
Mmh, mmh
Written by: Kanibal, Marioo