Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer
Tudd Thomas
Tudd Thomas
Producer

Lyrics

Barua yako uliyotuma kwa Ricardo Momo nimeisoma
Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma
Nliyo yategemea tofauti na nlicho kiona
Hata naandika hii barua huku roho yangu inansonona
Umesema nichane nguo pia funguo umeirudisha sawa
Simu niziweke kituo na sio chaguo nikome kabisa sawa
Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia niichane sawa
Ila kinachoniumiza mbona moja umesahau
Kosa Langu Kosa Langu hujaniambia
Na kuniacha peke yangu ukanikimbia
Ila mbona kosa langu hujaniambia
Nami nikabiki peke yangu ukanikimbia
Mbona ukanichimbia kaburi ningali bado mzima
Niife nizikwe vizuri nipotee kabisa kimya
Licha ya matendo mazuri kwa upendo na heshima
Moto ukachochea tanuri ukachoma wangu mtimaa
Natamani hata ningepata nafasi muda wakati kukutazama
Unione hata japo sura unitazame macho yangu
Mwenzako wimbi limenipiga kasi langu jahazi limezama
Mnyonge mwana Sanura, wee ndio ulikuwa furaha yangu
Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina, sawa na gari lisio na gear
La kuiforce ipande mlima, ndio maana siishi kulalama
Ndo maana siishi kulalama japo jibu moja tuu linaloniumiza, mwenzio bado sijaelewa
Kosa langu losa langu (Kosa langu), hujaniambia (Hujaniambia)
Na kuniacha peke yangu (Peke yangu), ukanikimbia (Ukaenda)
Ila mbona kosa langu (Kosa langu), hujaniambia (Hujaniambia bado)
Nami nikabi peke yangu (Peke yangu), ukanikimbia (Ukaenda ooh)
Oh moyo!
Moyo wangu umevunjika una magongo
Oh moyo!
Kila sehemu nayoshika kinyamazongo
Oh moyo!
Hata chozi likifutika linabaki tongo
Oh moyo!
Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo
Oh moyo!
Moyo wangu umevunjika unaa jamani
Oh moyo!
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out