Lyrics

Badman
Szhee ooh
Once again
Shake your bum bum
Shake your bum bum, shake it
Gimme some some
Gimme some some, gimme
Iyo tamu tamu
Iyo tamu tamu, cake
Kama stimu Marijuana
Kwenye mamilioni ya watu your the one
Pekee unaenimaliza
Na ushajua bila wewe mimi siwezi
Ukiniacha itaniumiza
Unaniweza uwepo wako natambua
Kiufupi umekamilika
Mechi za nje si unajua hua si chezi
Ononono
My dearest
Wangu wa moyo yoyoh
My dearest
Si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
Wangu wa moyo yoyoh
My dearest
Si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
Hesabu jioni
Kwani kulikoni
Penzi linafuka moshi
Zikichomwa kuni
Hesabu jioni
Faida sioni
Pesa zote nitazopata
Nitakuhonga honey
Nimenogewa kifupi nimekolea
Nikikutazama jua nataka kupewa
Onyo kwa wote wanaonyemelea
Penzi liko kasi wasije wakapotea
Nonono
Kwenye mamilioni ya watu your the one
Pekee unaenimaliza
Na ushajua bila wewe mimi siwezi
Ukiniacha itaniumiza
Unaniweza uwepo wako natambua
Kiufupi umekamilika
Mechi za nje si unajua hua si chezi
Ononono
My dearest
Wangu wa moyo yoyoh
My dearest
Si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
Wangu wa moyo yoyoh
My dearest
Si ndio oyo yoyoyooh
My dearest
Written by: Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out