Music Video

Aslay-Moyo Kiburi(Official Music Video)
Watch Aslay-Moyo Kiburi(Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Aslay
Aslay
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Aslay Isihaka Nassoro
Aslay Isihaka Nassoro
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Independent
Independent
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Niacheni niseme nitambe
Mwenyewe na moyo wangu
Ooh ooh lala lala
Ooh oooh lala lala
Ooh oooh lala lala
[PreChorus]
Moyo wangu unataka
Unataka unavyotaka
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
[Chorus]
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Unataka unavyotaka
Ila chunga usije leta maafa
[Verse 2]
Unachagua pa kutua
Pa kuchutama pa kukaa
Pa kusimama pa kutembea
Pa kukimbia moyo
[Verse 3]
Moyo wangu kichefuchefu
Moyo umegoma vitu vichafu (Moyo)
Moyo unataka vitu nadhifu
Vya kuridhisha mwili
[PreChorus]
Moyo hauna shombo
Moyo bingwa wa nyodo
Moyo hutaki shobo
Shobo, shobo, shoboo
[Chorus]
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
[Verse 4]
Ukileta dharau
Moyo unakusahau (Moyo)
Ukijiona mzuri
Moyo unaleta jeuri (Moyo)
[Verse 5]
Moyo nakupa cheo
We ndo mmliki wa hisia zangu
Yaani kama mti
We ni shina langu (Shina langu ooh)
[Verse 6]
Wapo walotaka kushindana
Na moyo wangu wakafeli
Tena walisubiri kupigana
Na moyo wangu wako chali
[Chorus]
Moyo wangu jeuri
Moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Aah jeuri moyo wangu kiburi
Written by: Aslay Isihaka Nassoro, Wanene Wanene
instagramSharePathic_arrow_out