Credits

PERFORMING ARTISTS
Kusah
Kusah
Vocals
Billnass
Billnass
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Ismail
Salmin Ismail
Songwriter
William Lyimo
William Lyimo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chibby
Chibby
Producer
Gachy B
Gachy B
Mixing Engineer

Lyrics

[Verse 1]
Babe your realy definition, inataka attention
Nataka nikuwaze, nataka nikupende
Hadi wapate questions
[Verse 2]
Wewe ndio wangu (Ooh my boo
Chochote unachotaka, yes I do
Basi kanyaga break iko kwa mguu
Tusije pata ajali tuta juu (Juu juu)
[Chorus]
We sema chochote me pesa ninayo (Oyoo yoyoo)
Ukitaka chochote namba yangu unayo (Oyoyoo yoyoo)
We tamba popote na visa unayo (Oyoo yoyoo)
Na ukitaka chochote namba yangu unayo oh oh (Oyoo yoyoo)
[Chorus]
Fanya unarewind rewind wee (Eeh)
Unazungusha antena (Aajee)
Kama una rewind rewind ah (Eeh)
Antena (Aajee)
[Verse 3]
Fanya unarewind rewind eeh
Unazungusha antena
Kama una rewind rewind antena (Aajee)
[Verse 4]
Rewind come back again selekta
Huu ndo ule ufundi ambao huwez upata Veta
We ni mzuri mpaka vinywa vya mahater ah
They give you compliments ah
Sio hata confidential aswear (Confidential)
[Verse 5]
We ndo namba 1 yani 9 kwenye 10
Mtoto umejaliwa zaidi ya parking ya Lugumi
Mayweather, michezo ya fedha kwenye ngumi
We kiboko, we nyangumi, we ni moto, we ni kuni ah
Wakikucompare itakua dharau mana we hufanani
[Verse 6]
Ligi kubwa utawaletea Tsunami
Unawarudisha chekechea form 1
Wanajidai ni special kumbe mtumba wa grade 1
The way you rewind back n forth mah
You remind me kwa Ramaphosa
[Verse 7]
Antenna nikikukosa weh
Basi tena ntampata nani?
Nani tena natamani nikuone
Mapemaa oh oh oh oh
[Verse 8]
Omotola Ojolade, oh oh
Ulivo mzuri kila upande oh oh
Na urefu wa Dayna Nyange, oh, oh
Oh ma baby she is the baddest ah
[PreChorus]
We sema chochote me pesa ninayo (Oyoo yoyoo)
Ukitaka chochote namba yangu unayo (Oyoyoo yoyoo)
We tamba popote na visa unayo (Oyoo yoyoo)
Na ukitaka chochote namba yangu unayo oh oh (Oyoo yoyoo)
[Chorus]
Fanya unarewind rewind wee (Eeh)
Unazungusha antena (Aajee)
Kama una rewind rewind ah (Eeh)
Antena (Aajee)
[Chorus]
Fanya unarewind rewind wee (Eeh)
Unazungusha antena
Kama una rewind rewind ahah
Antena (Aajee)
Written by: Salmin Ismail, William Lyimo
instagramSharePathic_arrow_out