Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Songwriter

Lyrics

Yeeeeh aaaah aaah aahhaaaah mmmh Uzuri wako mashallah na macho yako ndo balaah Sauti yako noma sana na mwendo wako ndo balaah Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye Sistimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah sijitamani Nifikirie Sana aaaah usinipe maruani me moyo Utaamaa aaah na mashetani yanapenda kwa manaa aaah Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani Me hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa Mapigo penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa Mapigo penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo Mwenzio mie hazipo Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo Akili me hazipo bwana Hazipo Kwajili yako mwenzio me hazipo baba Hazipo oh yeah Hazipo oh yeah Hazipo oh oh weeee
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out