Top Songs By RICH MAVOKO
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
RICH MAVOKO
Piano
COMPOSITION & LYRICS
RICH MAVOKO
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah
Producer
Lyrics
Kana madimpozi akicheka ana mwaanya,
Hana maringo hakataki kujuaana,
Penzi limenogaa chuzi biriani,
Yako inanitoshaaa, we ndio wa ubani
Mimi ni wake na ye wangu mi aahh!!
Tumeshibana kisawa sawa aahh!!
Sa kwengine mi nifuate nini aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh x 2
Ananipenda nami ninampenda kweli,
Ananipenda nami nimemweka moyoni x 4
Aaahh!! Bebiii nikuite nani iwe sawa
Huniii penzi letu nyunyuzia dawa x 2
Mimi ni wake na ye wangu mi aahh!!
Tumeshibana kisawa sawa aahh!!
Sa kwengine mi nifuate nini aahh
Yeye tabibu ananipa dawa aahh x 2
Ananipenda nami ninampenda kweli,
Ananipenda nami nimemweka moyoni x 4
Written by: RICH MAVOKO