Credits
PERFORMING ARTISTS
Yammi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Yasirun Yasin Shaban
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo Beats
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Aki baby naona mi na wewe kama
Adamu na Hawa, ivi tuko sawa sawa
Utaniua, ntakwama, mi mwengine sina
Kwani unafanyaga vipi ivyo, mbona raha sana
[PreChorus]
Ooh baby ongeza
Ongeza maujuzi nikupeleke kwa mkweo
We wa wapi wewe? Zanzibar au Tanga
Unanikolezaa baba kazi ipo mbona kazi wanayo
We ni fundi wewe ukinivunja utanjenga
[Chorus]
(Yani naona raha) Naona raha, naona, naona raha
(Naona raha) Naona raha naona raha
(Unanipenda mpaka naogopa) Naona raha, naona, naona raha
(Naona raha) Naona raha, naona raha
Yani naona rahaa
[Verse 2]
Ogopa matapeli penzi letu tayari linahati miliki
Apa mwisho wa reli, nimeshapatikana sitikisiki
Wanafki washa feri watarusha madongo, wala hayatufiki
Mi na we ndo movie waje watizame wawe mashabiki
Usije ponzwa na ujana babe bado mapema
Ng'ang'ana na mimi, darling
[Verse 3]
Na moyo umetulizana, we changu, chanda chema
Nyundo na msumali
[PreChorus]
Ooh baby ongeza
Ongeza maujuzi nikupeleke kwa mkweo
We wa wapi wewe? Zanzibar au Tanga
Unanikolezaa baba kazi ipo mbona kazi wanayo
We ni fundi wewe ukinivunja utanjenga
[Chorus]
(Yani naona raha) Naona raha, naona, naona raha
(Naona raha) Naona raha naona raha
(Unanipenda mpaka naogopa) Naona raha, naona, naona raha
(Naona raha) Naona raha, naona raha
Yani naona rahaa
Written by: Yasirun Yasin Shaban