Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
L.G.
L.G.
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Umenijengea kumbukumbu mbaya kwenye penzi lako
Siwezirudi hata nishikie bakora
Nanena kwa machungu umentendea vibaya mi, mwana mwenzako
Kwa makusudi furaha umeniporaa
[Verse 2]
Aah, asante umenifunzaa
Nionapo njia nichagua yakuvuli
Mimi, mi sio wa kwanza kuumizwaa
Wanatendwa matajiri, sembuse mi huwa sifuri
[PreChorus]
Aah, na kujua kwa msingizia she kwani
Huyo ni wewe, ni wewe, ni wewe
Ukinikumbuka usijipigishe u-turn
Uniache mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe niache
[Chorus]
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, baasi
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, baasi
[Verse 3]
Eh, hasira
Hasira ndo maradhi yangu
Hasira
Nimepoteza muda wangu jamani hasira
Hasira ndo ni ugonjwa wangu
Hasira
Nimepoteza lengo langu
[Verse 4]
Sitamani sitamani makosa niyarudie
Isiwe desturi yangu kuuchuza moyo uumie
Bora nirudi nyumbani Pemba wanitambikie
Nifungwe akili yangu, mawazoni nikutoe
[PreChorus]
Ooh maana nakujua kwa msingizia she kwani
Huyo ni wewe, ni wewe, ni wewe
Ukinikumbuka usijipigishe u-turn
Uniache mwenyewe, mwenyewe, mwenyewe niache
[Chorus]
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, baasi
Nimechoka, nimechoka
Nimechoka, baasi
Written by: Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out