Music Video

Tommy Flavour feat Marioo - JUJU (Official Lyrics Audio)
Watch Tommy Flavour feat Marioo - JUJU (Official Lyrics Audio) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tommy Flavour
Tommy Flavour
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marioo
Marioo
Songwriter
Tommy Flavour
Tommy Flavour
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Abbah Process
Abbah Process
Producer

Lyrics

[Verse 1]
Baby ohh baby
Umeniweka mkononi sawa
Ohh baby
Your love h've got something power
[PreChorus]
Ajanipa juju ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa ohh my lover
Imenoga, your body imenoga
Na your face imenoga
Na hizo lips utamu kunoga
[Chorus]
Ni kama muda hauendi (Hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (Ooh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji
[Verse 2]
Kama muda hauendi (Hauendi)
Nimenogewa na mapenzi (Ooh na mapenzi)
Alika na mashoga zako
Twenzetu Zenji
[Verse 3]
Nalalaga na yeye lakini hata ndotoni namuota
Ohh baby ii
Yeye ndo ndege anemiliki kiota
Nashindaga na yeye nikitoka tu kidogo na m-miss
Ohh baby ii
Nikirudi napolekewa na kiss mwah
[Verse 4]
Msimtumie message, ananipaga anasoma
Oya masela wangu nawaona, nawaona
Msimtumie message, nampaga anasoma
Oya vimada wangu anawaona, anawaona
[PreChorus]
Ajanipa juju ndivyo tulivyo
Ajatumia madawa ohh my lover
Umenoga, your body imenoga
Na your shepu imenoga
Na hizo lips utamu kunoga
[Chorus]
Ni kama muda hauendi (Hauendi)
Nimenogewa (Ooh na mapenzi)
Waite na mashoga zako
Twenzetu Zenji
[Chorus]
Ni kama muda hauendi (Hauendi)
Nimenogewa (Ooh na mapenzi)
Basi waite na mashoga zako
Twenzetu Zenji
[Outro]
I gotta love for you, love for you
I gotta love for you, love for you
I gotta love for you, love for you love
I gotta love for you, love for you
Written by: Marioo, Tommy Flavour
instagramSharePathic_arrow_out