Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Chege
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ally Salehe Kiba
Songwriter
The Mix Killer
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ma Feeling
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Amenijaa na makopa
Amesusa ananipa vya kushoto
Mlima maua Lushoto
Nauona me nasimama dede
[Verse 2]
Napendwa mpaka naogopa
Haki ya Mungu hili penzi la moto
Nabembelezwa kama mtoto
Hadi naimbaga mama nibebe
[Chorus]
Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani
Nikiwaga nae mwandani
Mapenzi raha burudani
[Verse 3]
Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa rozi gani
Homa yangu dozi gani
[Verse 4]
Yaani wewe wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto linapanda degree
[Chorus]
Mi sioni, oni, eh (Ah-ah)
Sioni, eh (Ah-ah)
Kipofu kabisa (Ah-ah)
Napapasa (Ah-ah)
Natapatapa (Ah-ah)
Naona raha (Ah-ah)
Sioni mwenzio (Ah-ah)
Na mniache (Ah-ah)
Ah-ah, ah-ah
Ah-ah
Ah-ah, ah-ah
Ah-ah
[Verse 5]
Hata kama mapenzi ni ujuzi nafsi yangu kalakala
Ikilala nitaambulia mashuzi naona ka' itashindikana
Bora sasa nifanye mazoezi niende sawa na vijana
Nijiepushe kupatwa na uchizi waja wakaninyang'anya
[Verse 6]
Mbele sioni na masikio nimeziba
Nyie hamjui anachonipa kinanifaa
Kunitoa pangoni kwa sauti yake ya kupendeza
Vya kulala havilaliki mpaka tunamaliza
[PreChorus]
Kama naumwa Malaria
Homa yangu ni kali
Kama dawa dozi gani
Mama yangu dozi gani?
[Verse 7]
Kwani we' ndo wa pekee
Mambo mengine we usiongezee
Mwenyewe si unaona
Joto limepanda degree
[Chorus]
Mi sioni, oni, eh (Ah-ah)
Sioni, eh (Ah-ah)
Kipofu kabisa (Ah-ah)
Napapasa (Ah-ah)
Natapatapa (Ah-ah)
Naona raha (Ah-ah)
Sioni mwenzio (Ah-ah)
Na mniache (Ah) ah-ah
[Bridge]
La-la-la, ah-ah
Ah-ah
Ah-ah
Uh-uh
[Chorus]
Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani
Nikiwaga nae mwandani
Mapenzi raha burudani
Anipaga raha za Pwani
Ye' mwenyeji wa Visiwani
Nikiwaga nae mwandani
Mapenzi raha burudani
Written by: A, Ally Salehe Kiba