Top Songs By Billnass
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Billnass
Performer
Jux
Performer
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholaus Lyimo
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Verse 1]
Wanasema roho mbaya roho mbaya kweli ninayo
Nafanya makusudi kushinda hizo chuki zao
Tena wanafiki bado nakula nao
Na hainipi shida riziki hawatoi wao
[Verse 2]
Ex wangu anatamani niachike
Nifubae niishe nidhalilike
Adui zangu wanatamani wanizike
Niwe choka mbaya na mwisho nifilisike
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Chorus]
Tena wanaforce kutuona tunalost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Verse 3]
Haohao, haohao wananisema mimi hawaoni yao
Haohao, haohao wakiomba mabaya yanarudi kwao
Haohao, haohao wananisema mimi hawaoni yao
Haohao, haohao wakiomba mabaya yanarudi kwao
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanaforce kutuona tunalost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Bridge]
Huwezi pangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
[Verse 4]
Na hao marafiki wanafiki tunaishi nao
Wanachuki kama labda tunaishi kwao
Wanashindwa kurithi nyumba na mali za baba zao
Cha kushangaza wanarithi tabia za dada zao
[Verse 5]
Ex wangu anatamani niachike
Nifubae niishe nidhalilike
Adui zangu wanatamani nizikwe
Niwechoka mbaya na kesho nifilisike
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Chorus]
Tena wanaforce
Kutuona tunalost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Refrain]
Haohao, haohao wananisema mimi hawaoni yao
Haohao, haohao wakiomba mabaya yanarudi kwao
Haohao, haohao wananisema mimi hawaoni yao
Haohao, haohao wakiomba mabaya yanarudi kwao
[Chorus]
Hatuagizwi na maboss
Sisi wenyewe maboss
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
Tena wanaforce kutuona tunalost
Wanatuombea mikosi
Tunalindwa na sir God pekee
[Outro]
Huwezi pangua mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
Mipango ya Mungu
Written by: William Nicholaus Lyimo