Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Vocals
Harmonize
Performer
Lyrics
[Verse 1]
Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo
Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo
Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo
Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo
[Verse 2]
Tena unavonisuuza hujikwezi
Sio wa kulala buza ushinde mbezi
Yaani unawaburuza hawakuwezi
Umeniteka mama aah
[PreChorus]
Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
Akina Carry Mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi
[Chorus]
Kifupi umeniziba mdo, mdo, mdomo
Mdo, mdo, mdomo, mdo, mdo, mdomo, mdoo
Yaani baby umeniziba mdo, mdo, mdomo
Mdo, mdo, mdomo, mdo, mdo, mdomo, mdoo
[Verse 3]
Ooh baby, me I don't even understand
Nahisi kama umenifanyia limbwata ila ndio mapenzi sishangai
Yeeh, my lady I don't wanna one night stand
Mie kwako chizi nishadata ntakupenda till I die
[Verse 4]
Maana unanipa mawe eh wengengee
Mara bichwa mara mwe eh mwengengee
Kaja gym na kite, tengenge ilimradi uchokozii
Aooh nah nah nah
[Verse 5]
Macho yanatazama mbingu
Na mikono nishamfunga na pingu
Kibaridi huko nje kuna wingu
Mie namwa, mwagaga machozi
[PreChorus]
Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya
Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka Tembo hapindui
Akina Carry Mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya
Na ulivo na sifa unanipa tena, yaani mpaka asubuhi
[Chorus]
Kifupi umeniziba mdo, mdo, mdomo
Mdo, mdo, mdomo, mdo, mdo, mdomo, mdoo
Yaani baby umeniziba mdo, mdo, mdomo
Mdo, mdo, mdomo, mdo, mdo, mdomo, mdoo
[Outro]
Anataka niteleze kwa ute (Hana baya)
Nikitapika nifute (Hana baya)
Ananifanya nisijute (Hana baya)
Chumbani nkukute (Hana baya)
Nyonga ganja mbili tuvute (Hana baya)
Hilo vumbi la kongo uifute (Hana baya)
Written by: Harmonize