Lyrics
[Intro]
Aah hayaa yamenishika
Aah hayaa
[Verse 1]
Ni kama sina macho sina roho
For real bby take my soul
Nishadata na wewe, wewee
[Verse 2]
Mapenzi yamenikaba kwa koo
I swear baby am in lovee
Usingizi mwanana ni wewe
Basi nipende mwenyewee
[Verse 3]
Baby natamani nifungue moyo uonee
Ilivyo ndanii ee, eeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mhhh
[PreChorus]
Because I love you
Baby I love you too much oo, too much oo
I know you love me too much oo, too much oo
[Chorus]
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
[Verse 4]
Kama jenereta moyo wangu unandunda unanitweta
Mwenzako naogopa aah naogopa aah
Mi naseleleka yani kwenye tope naseleleka
Jamvi na mkeka kwako nimewekaa
[Verse 5]
Baby natamani nifungue moyo uonee
Ilivyo ndanii ee, eeh, eeh
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mhhh
[PreChorus]
Because I love you
Baby I love you too much oo, too much oo
I know you love me too much oo, too much oo
[Chorus]
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
Aah haya yamenishika
Aah hayaa yamenishika
Written by: Mocco Genius