Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mocco Genius
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mocco Genius
Lyrics
Passo
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Mocco Genius
Producer
Lyrics
Mouja, Mocco
Nisipokuona siku, moyo juu juu (Juu)
We fundi wa kunipeaga, nipe mimi tu
Kukupendelea kwangu ni wajibu
Na nisipoelewa, we ndo langu jibu
Sijazizoea raha za ajabu
Kama umenipa pombe, nimezima fofofo
Hello, hello
Mimi mwenzako, naona kama mapenzi yako ndio peponi
Mimi mwenzako, naona kama mapenzi yako ndio peponi
Hello, hello, heelloo (Hello, hello)
Hello, hello, heelloo (Hello, hello)
Naongea na wewe, mpenzi wangu, hello (Hello, hello)
Nina kuimbia wewe, mpenzi wangu, hello (Hello, hello)
Mahi diha wangu (ninyooshe)
Nahi sia zangu (uzipoze)
Sihofii tena mapenzi
Mnazi umepata mkwezi iii
Nyumba imepata mkazi
Wakunifuta machozi ni wewe, hello
Mimi mwenzako, naona kama mapenzi yako ndio peponi
Mimi mwenzako, naona kama mapenzi yako ndio peponi
Hello, hello, heelloo (Hello, hello)
Hello, hello, heelloo (Hello, hello)
Naongea na wewe, mpenzi wangu, hello (Hello, hello)
Nina kuimbia wewe, mpenzi wangu, hello (Hello, hello)
Na hii, ndo kwanza ya pili
Mama, kompa kompa kompa
Wewee, huku njoo
Tika tika tika tika
Leo michezo ya kompaa
Written by: Mocco Genius, Passo