Lyrics
[Verse 1]
Samaleko
Si mlisema hatufiki mbali
Leo mwatuonaje, samaleko
Nendeni mkaseme sisi wala hatujali
[Verse 2]
Ninachojua I'm loving you baby
Nimekupa moyo wangu ubebe
No life without you baby
Ntakufa kikatiriri baby
[Verse 3]
Darling mpaka tumefanana
Sijutii kujuana
Kwako na tuwama
Your love is true
[Verse 4]
Mapenzi kuridhiana
Kwako ntabanana
Nawe mpaka kiama
Your love is true
[Chorus]
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
La La la la la la la la
La La la la la la la la
[Verse 5]
This is the place I deserve to be
Let me dance to your heart beat
Hili jimbo lako honey
Siambiwi na sisikii
[Verse 6]
Eti, aniache amuachie nani
Me ndo tamu yake kalituliza ruhani
Aniache amuachie nani
Me ndo tamu yake kalituliza ruhani
[Verse 7]
Darling mpaka tumefanana
Sijutii kujuana
Kwako na tuwama
Your love is true
[Verse 8]
Mapenzi kuridhiana
Kwako ntabanana
Nawe mpaka kiama
Your love is true
[Chorus]
La La la la la la la la
La la la la la laa la la
La La la la la la la la
La La la la la la la la
Written by: Marianne Mdee, PAPA, Passo