Lyrics
Yeah!
African Princess
Naugua, naugua, kukupenda naugua
Nakupa yako maua
Kunipenda umeyajua
Naugua, naugua, kukupenda naugua
Nakupa yako maua
Kunipenda umejua
Roho yangu sultani
Kwa mwinigine sitamani
Umenijaa moyoni
Nakupenda hayawani
Mimi pembeni sitazami
Umenizidi mzani
Hoi wabin taabani
Na sijuitii hasirani
We Umeniathiri
Tabia umenibadili
Mwenyewe si unaona
Ah-ah, ah, tumelandana mwili
Utambi na kandiri
Mwenyewe si unaona?, ah
Naona
Bailando (baila, baila)
Mi amor (baila, baila)
Bailando (baila, baila)
Mi amor (baila, baila)
Mi amor, oh, mi amor
Bai
Bailando
Haste, haste na kipira baby
Moyo unadunda kwa grade
Ai, mwenzako nadead
Ufundi ka' tuko garage
Ah, si utaniua baby
Moyo unadunda kwa grade
Haya unanipa mapenzi
Umeniweza
Mwenzako mimi
(Yaani wewe)
Moyo wangu
(Moyo wako)
Nia yangu
(Nia yako)
Mpaka mwisho
(Mpaka kifo)
We Umeniathiri
Tabia umenibadili
Mwenyewe si unaona
Ah-ah, ah, tumelandana mwili
Utambi na kandiri
Mwenyewe si unaona?, ah
Naona
Bailando (baila, baila)
Mi amor (baila, baila)
Bailando (baila, baila)
Mi amor (baila, baila)
Mi amor, oh, mi amor
Bai
Bailando
Written by: Ally Salehe Kiba, Iddi Mohamed Ngomba, Mrisho Liso