Lyrics

[Verse 1]
In my life, life
Sijawahi penda tena kama hivi, hivi
Napata raha ah aah
Kumpata kama yeye si rahisi (Not easy)
[Verse 2]
Na tulifanya tambiko, tambiko-koko
Tumejipanga si kitoto, alipo mi nipo-popo
Tumeshibana, si tupo (Tambiko, tambiko-koko)
Tumejipanga si kitoto, alipo mi nipo-popo
Si mfuniko na kopo yayaah
[Verse 3]
Nobody gonna fit, si tumesha keti
Ni upendo wa kweli, sio unafki, yeeh
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti, yeah
Mwenyekiti, yeah
[Chorus]
Niachieni wangu Joji, jojina
Joji, Jojina
Joji, Jojina
Joji
Niachieni wangu Joji, Jojina
Joji, Jojina
Joji, Jojina
Joji, Jojinanaa
[Verse 4]
Jojina mwana mama
You too fine na, mh
The way you dress like designer
Kwako nguvu sina
Wakinipima, na
Vipimo vyote lako jina
Tena mwana mama
Nimejikana na
[Verse 5]
Mimi ni wako tu wa daima
Kwako nguvu sina
Wakinipima, na
Vipimo vyote lako jina
[PreChorus]
Tambiko, Tambiko-koko
Tumejipanga si kitoto
Alipo mi nipo-popo
[Chorus]
Tumeshibana, si tupo (Tambiko, tambiko-koko)
Tumejipanga si kitoto, alipo mi nipo-popo
Si mfuniko na kopo yayaah
[Bridge]
Nobody gonna fit, si tumesha keti
Ni upendo wa kweli, sio unafki, yeeeh
Kashikilia jimbo yeye mwenyekiti, yeah
Mwenyekiti, yeah
[Chorus]
Niachieni wangu Joji, jojina
Joji, Jojina
Joji, Jojina
Joji
Niachieni wangu (Joji, Jojina)
Joji, Jojina
Joji, Jojina
Joji, Jojinanaa
Written by: Bruce africa
instagramSharePathic_arrow_out