Featured In
Lyrics
Anachukua anaweka waah! (De generale' Dangote)
Anachukua anaweka waah! (Le grand Mopao)
Anachukua anaweka waah! (Boss ya mboka)
Anachukua anaweka waah!
Tamu kupendwa nae, taamu nasikia
Tamu kupendwa nawe
Tamu kupendwa nawe, tamu
Tamu kupendwa nawe
Oh maneno, maneno, tumeyazoea
Vijineno neno, tushazoea
Mpenzi wangu mbaya, kwani inawahusu
Shepu yake mbaya, hivi inawahusu
Udangaji umalaya, wao inawahusu nini
Wamegusa pabaya na mwaka huu lazima wachuchumae
Wameingia cha kike (Hewaaa), cha kike, aah
Wameingia cha kike, cha cha cha kike (Twale)
Wameingia cha kike (Kwa penzi letu) cha kike
(Lazima wachuchumae) Wameingia cha kike (Kwa penzi letu) cha, cha, cha kike
Chumbani Hennessy, hunipatia panadol
Kuchenga za Messi, na mashuti ya Ronaldo
Yaani ndani nikiingia tu
Anachukua anaweka waah!
(Ah kwenye gari) Anachukua anawеka waah!
(Iwe jikoni au varandani) Anachukua anaweka waah!
(Doze doze, doze doze) Anachukua anaweka waah!
Yaani Dar Es Salama joto, toa leso jipepee (Mkubwa Fella)
Oya Congo joto, toa leso jipepepee
Oya Mzee Kunami (Jipepee)
Oh Ricardo Momo (Jipepee)
Oya mama Dangote (Jipepee)
Eeh Doni Fumbwe (Jipepee)
Juu-juu (Jipepee)
Juu-juu-juu (Jipepee)
Juu-juu (Jipepee)
Juu-juu-juu (Jipepee)
Fukama, fukama mwara
Fukama, fukama mwara
Fukama, fukama Diamond
Fukama, fukama Quadra
Fukama
Papa Mobimba aye, Papa Mobimba aye
Papa Mobimba aye, Papa Mobimba
Anyataka trop akokakate alobaka te Tsuba ye, yes!
Tshuma, tshuma, tshuma tshuma, tshuma
Akokaka te alingaka trop alobaka te sukuma aa, yes
Tshuma, tshuma, tshuma aah
Papa Ngwasuma, Papa Ngwasuma (Jose Kusaga)
Papa Ngwasuma, anzeli Ngwasuma
Dar Es Salaam Ngwasuma, (Uncle Shamte) Diamond Ngwasuma
Kinshasa Ngwasuma, Asutara Ngwasuma
Eeh! Aah! Eeh! Weeh!!
Usiniguse, usinitouch tusalimiane kwa miguu
Usiniguse, usinitouch, tusalimiane kwa miguu
Ooh nasema usiniguse, usinitouch salamu iwe kwa miguu
Usiniguse, usinitouch, tusalimiane kwa miguu
(Oh kwanza kaambaje) Corona coro (Kusimba teli) Corona coro
(Mwanzako naogopa) Corona coro (Akusana Mosika) Corona coro
(Kwa tena vaa maski) Corona coro (De megre) Corona coro
(Mikono yako kuosha) Corona coro (De Pirlo, Saint James) Corona coro
Didi Stone, Didi Sontos