Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bruce africa
Bruce africa
Songwriter

Lyrics

Hivi ni wapi huku
Mbona napata hii raha aisee
Nalowa mabusu
Mahaba ni times two
Yaan double double I’m going crazy
Ni mzuri msupu yeeah
Japo na hustle tupate kula
Ameridhia na ananipa love
Beautiful girl sio regular
Melanini Queen so naturally
Wewe kwangu paracetamol
Ndo maana nakutaka more
Umenishika mwili mpka roho
Sina la kufanya
Kwa penzi lako wewe Shikamo
Ndo maana nakutaka more
Umenishika mwili mpaka roho
Nakupenda sana
Well I found love in you
In you youu in youu
I found love in you babe oh naah naah naah
In you youuu in youu
I found love in you
Yeah
I found love in you
Loving you
Yes I’m in love with you
Ukiona nanenepa
We ndo sababu
Sina mashaka booo yeah
Part two Penzi lako lako lina part two
Linamwendelezo ninabaki tu
Sitokwenda mi napaki tu
Yee yeee yeee
Part two penzi lako lina part two
Uzuri wote unao nina baki tu
Sitokwenda mi nabaki tu
Yee yeee yeee
Wewe kwangu paracetamol
Ndo maana nakutaka more
Umenishika mwili mpka roho
Sina la kufanya
Kwa penzi lako wewe Shikamo
Ndo maana nakutaka more
Umenishika mwili mpaka roho
Nakupenda sana
Well I found love in you
In you youu in youu
I found love in you babe oh naah naah naah
In you youuu in youu
I found love in you
Yeah
I found love in you
Written by: Bruce africa
instagramSharePathic_arrow_out