Lyrics

Bruce Africa pon dis again
Dis again
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Siwezi rudi bila chochote, uhakika
Nitaleta chochote, kwa meza
Hivi ndivyo vile inafaa
Hivyo ndivyo vile inafaa
Na nitapitapita kokote lazima
Mungu yupo na mimi amina
Nije nikutunze malikia
Aah, yeah yeah
Kukunda nakukunda, eh
Ndicho ninachojua na unanipenda, eh
Monday to Sunday, nikugande unigande, tuvae na sare
Kukunda nakukunda, eh
Leo tutatoka ujiandae
Put that smile for me
Look what you done to me
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Oh baby ah
Sijali alikuwa na wangapi nyuma
Upenda wake kwangu suna
Anapendeza hata akinuna
Sijali hata wakisema, anani puna
Kwaajili yake nina jituma
Nikama train haturudi nyuma
Tuna uwasha moto
Moto tuna uwasha moto
Moto wawaka moto, fire yeah yeah
Kukunda nakukunda, eh
Ndicho ninachojua na unanipenda, eh
Monday to Sunday, nikugande unigande, tuvae na sare
Kukunda nakukunda, eh
Leo tutatoka ujiandae
Put that smile for me
Look what you done to me
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Kupendwa ananipenda
Mpenzi wangu, sare sare maua
Written by: Bruce Elias Sanane
instagramSharePathic_arrow_out