Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Xouh
Performer
Draco
Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
Ramadhan Daniel
Songwriter
Lyrics
HaHaHa!
Eeeeeh
Naitwa xouh
The sound
Wala sio shibe
Hiki kitambi cha mapenzi
Wala sio shibe
Hili shape la mapenzi
Msinione nang’ara
Huu sio mkorogo ni mapenzi
Siwaringishii mi napendwa ile kishenzi
Oooh oooh
Mi nikipendwa vizuri Mapenzi fake sina
Niamini mchumba nitagandana na wewe
Ukinipenda vizuri hata kiburi sina
Niamini mchumba nitagandana na wewe
Tutagombana mpenzi
Ila kuachana nawe nishasema hapana
Tutanuniana mpenzi
Ila kuachana nawe hiyo kitu hapana
Ooh baby
Bruce Africa Pon dis one again
Nimelipima penzi lako ndo maana
Siishi kupambana siachi kung’ang’ana
Ili niwe na wewe
Na ulipo nipo tutabanana (forever)
Forever and ever siwezi kulalama
Nakupenda milele
Unanipaga peace of mind
mbali nawe mi sifai Oh mama weee
Girl your body so fine nalewa bila divai Oh mama weee
Na kila tukigombana tunapatana
Maana tunaendana oooh oooh
Oooh oooh
Mi nikipendwa vizuri Mapenzi fake sina
Niamini mchumba nitagandana na wewe
Ukinipenda vizuri hata kiburi sina
Niamini mchumba nitagandana na wewe
Tutagombana mpenzi
Ila kuachana na we nishasema hapana
Tutanuniana mpenzi
Ila kuachana nawe hiyo kitu hapana
Nitafanya vyote
Ila kuachana nae hapana
Nitamnunia
Ila kuachana nae hapana
Tutagombana
Ila kuachana nae hapana
Nitajinunisha
Ila kuachana nae hapana
Written by: Ramadhan Daniel