Top Songs By Abigail Chams
Credits
PERFORMING ARTISTS
Abigail Chams
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abigail Chams
Composer
Sweetbert Charles
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sweetbert Charles
Producer
Sweetbert Charles Mwinula
Producer
Lyrics
[Intro]
Milele
Milele
Milele
[Verse 1]
From the first day tulipo kutana-tana
Moyo ukadunda macho yalipogongana
Hapo, hapo tukapeana namba
Tukapeana namba (Namba)
[Verse 2]
Ukweli ulinivutia-ia
Sijajua zako tabia ooh
Na moyo ndo umeridhia-ia
Ila nina imani unaupendo
[PreChorus]
Ishi nami, baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde milele
Ishi nami, baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde milele
[Chorus]
Penzi letu liwe la (Milele)
Ooh nakupenda (Milele)
Penzi letu liwe la (Milele)
Ooh nakupenda (Milele)
[Verse 3]
Kwa penzi lako na enjoy unavyonipa na enjoy ooh
When you touch my body ooh naomba usiache
Napendwa sana ninavyojisikia moyoni
Nami nampenda my baby ooh
[Verse 4]
Baby boy your love is killer, killer yeah
Forever you're my pillar, pillar cause
Uh you're the only one for me yeah
You're the only one I need eeh
And I, I can't deny you give me butterflies
My mr right, ooh yeah
[PreChorus]
Ishi nami, baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde milele
Ishi nami, baki nami
Daima forever wewe nami
Mitihani changamoto tuzishinde milele ooh
[Chorus]
Penzi letu liwe la (Milele)
Ooh nakupenda (Milele)
Penzi letu liwe la (Milele)
Ooh nakupenda (Milele)
[Outro]
Tuzishinde milelele
Tuzishinde milele
Milele-le-le-le-leee-le ooh
Ooh
Oh milele, oh yeah
Written by: Abigail Chams, Sweetbert Charles