Top Songs By Harmonize
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Harmonize
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Daxo Chali
Producer
Lyrics
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Jumamosi kakesha analewa jumapili kanisani, (Anajikosha)
Eti sipendi vya kupewa, bango analipa shabani, (Anajikosha)
Shoga jana nilinoga, na nywele yako umetisha, (Anajikosha)
Nimesharudi naoga, jioni nitairudisha, (Anajikosha)
Kwanza hata usitume tena, tayari nishazila, (Anajikosha)
Hasa baby nitakula nini, zilikuwaga ni hasira, (Anajikosha)
Penzi bichi makele bwana, nimehama nipo mbweni, (Anajikosha)
Tena huku ni baridi sana, huhitaji hata feni, (Anajikosha)
Awii, awaa, awii, awaa
Awii, awaa, awii
Asa lelele, lelele lelelelee, (Lelele lelelelee)
Tuimbe tena, lelele lelelelee, (Lelele lelelelee)
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Baby, baby umeniweza kwa bedi, simkumbuki Juma wala Mohamedi
Ila mbona simu yake sasa hataki nijue password, (Anajikosha)
Nitanyoosha chuma pengine shida mtandao, (Anajikosha)
Nikipiga kwa watoa huduma maelezo ni kibao, (Anajikosha)
Mi siwezagi za kucheza-cheza na mshipa ngiri, (Anajikosha)
Mara ghafla kaihama meza anakimbia ya bili, (Anajikosha)
Hio ndinga ilikamatwa nikampa leseni, (Anajikosha)
Kumbe alienda kuvimba tabata na kademu pembeni, (Anajikosha)
Awii, awaa, awii, awaa
Awii, awaa, awii
Asa lelele, lelele lelelelee, (Lelele lelelelee)
Tuimbe tena, lelele lelelelee, (Lelele lelelelee)
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Anajiko, anajikosha, anajikoo, anajikosha
Written by: Harmonize