Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Nandy
Nandy
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Salmin Kasimu Maengo
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
S2Kizzy
Producer

Lyrics

Kaniweza mimi, mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue
Ntakufa mimi, baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue
Nikuhonge (Au), ah nikuposti (Au), nikupe mmh (Au)
Ah, ah, aah, ah, ah, aah
Nikuhonge (Au), ah nikuposti (Au), nikupe mmh (Au)
Ah, ah, aah, ah, ah, aah
Mchumba unataka nini mchumba
Aiyeke iye
Roho unataka nini roho
Aiyeke iye
Mchumba unataka nini mchumba
Aiyeke iye
Roho unataka nini roho
Aiyeke iye
Kidege kinaondokaa
Kidege kinaondokaa
Aiyayaya kinaondokaa
Aiyayaya kinaondokaa
Kshi, kshu, kshi, shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Mwenzenu nampenda, nampenda sana, akiniacha mnizike mje mnizike
Ajue mapema, mapema sana, akiniacha mnizike
Nikuhonge (Au), ah nikuposti (Au), nikupe mmh (Au)
Ah, ah, aah, ah, ah, aah
Nikuhonge (Au), ah nikuposti (Au), nikupe mmh (Au)
Ah, ah, aah, ah, ah, aah
Mchumba unataka nini mchumba
Aiyeke iye
Roho unataka nini roho
Aiyeke iye
Mchumba unataka nini mchumba
Aiyeke iye
Roho unataka nini roho
Aiyeke iye
Kidege kinaondokaa
Kidege kinaondokaa
Aiyayaya kinaondokaa
Aiyayaya kinaondokaa
Kshi, kshu, kshi, shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Kshi, kshu, kshi shi-shi
Kidege kinaondokaa
Kidege kinaondokaaa
Aiyayaya kinaondokaa
Aiyayaya kinaondokaa
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga, Salmin Kasimu Maengo
instagramSharePathic_arrow_out