Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joozey
Joozey
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Misa
Joseph Misa
Songwriter
Rajab Abdul Kahali
Rajab Abdul Kahali
Songwriter

Lyrics

Tafadhali, tafadhali, ka uko na baby ifiche mbali
Yani kuna wana uwanponda mali, basi wanamwaga madolali
Wana agiza, wana agiza (Dorime)
Kama una hela za mawazo nunua shamba ukalime
Wana agiza, wana agiza dorime
Taratibu na tungi al offer usije lewa uzime
Oya dada ficha danga lako, siku izi kila demu ana matako
Na kama ukibisha shauri yako, mi inakaribia kula kwako
Me wangu namficha, namficha kwapani
Namficha, namficha kwapani
(Eeh namficha), namficha kwapani
Baby wangu namficha, namficha kwapani
Eti nimwache, nimwache nimwachie nani
Nimwache, nimwache nimwachie nani
Nauliza nimwache, nimwache nimwachie nani
Nimwache, nimwache nimwachie nani
Eti nimwache, nimwache nimwachie nani
Nimwache, nimwache nimwachie nani
Ona mafisi wale wanvyoitazama pisi pale
Sio kama nawadisl wale, baby tangu hawezi kwenda kirahisi pale
Oya dada ficha danga lako, siku kizi mini kiła demu ana matako
Na kama ukibisha shauri yako, mmh inakaribia kula kwako
Me wangu namficha, namficha kwapani
Namficha, namficha kwapani
(Eeh namficha), namficha kwapani
Baby wangu namficha, namficha kwapani
Written by: Joseph Misa, Rajab Abdul Kahali
instagramSharePathic_arrow_out