Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Kusah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
SALMIN ISMAIL HOZA
Songwriter
Robert Msangi
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Cuckie Daddy
Producer
Lyrics
Mapenzi raha, penzi utamu, utamu-utamu tu
Huniishi raha, hiniishi hamu ni utamu-utamu tu
Umenishika kiroho mbaya
Penzi letu iko on fire
Me unigusa pabaya, kila kitu nasema haya
Hata wakupe nini, wakupe Benz, wakupe Lambo ama Beamer
Thamani ya penzi hawawezi kuipima
Ua la waridi tamu
Hili lanizidi tamu
Na kwenye baridi tamu
Joto likizidi tamu-tamu-tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Utamu wako umezidi asali, umezidi halua, umezidi tende
Sina cha kufanya zaidii acha nikupende
Au na wewe nikuite mi amor
Tujaze na makopa love-love
Oh baby give me more-more, ooh darling
Wengine watanisema vibaya eti nimejichanganya
Acha waseme vibaya mi habari sinaa
Ua la waridi tamu
Hili lazidi tamu
Na kwenye baridi tamu
Joto likizidi tamu tamu-tamu-tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Tamu, tamu, tamu
Written by: Robert Roman Msangi, SALMIN ISMAIL HOZA