Music Video

MABANTU x YOUNGLUNYA - SPONSA (Official music Video)
Watch MABANTU x YOUNGLUNYA - SPONSA (Official music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter

Lyrics

Si wanapenda kubeng
Nyuma na mlima Meru sio kichuguu
Na kwa kifua kaka funga vitunguu
Mnavyosimamishaga ka stand kuu
So akiniambia nikam nakam true
Kiuno alisema mama ndo amempatia
Na kweli siku za mbuzi kwenye gunia
Alivyonipokezana kanirudia
Na ile tuzo ya Uber kanitunukia
Kabla ya show tunanyonga cha Arusha
Zaidi tunawasha music tunajirusha
Huku nyagi na whiskey za kujiboosta
Si ndo tunaanza kuchafua mashuka
Hivi jamani mnaonaje? (Sponsor anazingua)
Mi atanipeleka jela (Sponsor anazingua)
Au kisa ana motokaa (Sponsor anazingua)
Dar ataiona chungu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Nimeshatuma na ya kutolea, nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea, nimeshatuma na ya kutolea
Sasa kwa kuwa shpupi yangu, ina nane figa (My wangu)
Kama kawaida mnyamwezi najiona jiga (My wangu)
Kiukweli sponsor simu za usiku ukipiga (My wangu)
Mi nakuwaga naye ghetto na huwaga napiga, na mtatuma pesa mpaka basi
Na mkituma tunaenda kuvunjia makabati
Au tunanunua mitungi tunagongesha glasi
Na simgharami chochote zaidi ya mikasi
Pesa yangu mpaka utokee mikeka
Leta burger mi naleta mihogo na nacheka
Space yangu siwezi kuifungia mbwa anayebweka
Weka baba mi akirudi naweka na analoweka (Ooh my)
Hivi jamani mnaonaje? (Sponsor anazingua)
Mi atanipeleka jela (Sponsor anazingua)
Au kisa ana motokaa (Sponsor anazingua)
Dar ataiona chungu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Sponsor niachie my wangu, sponsor niachie my wangu
Nimeshatuma na ya kutolea, nimeshatuma na ya kutolea
Nimeshatuma na ya kutolea, nimeshatuma na ya kutolea
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out