Top Songs By Dj Seven Worldwide
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Dj Seven Worldwide
Performer
Country Wizzy
Performer
Conboi Cannabino
Performer
Salim Sadick Mutalemwa
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Salim Sadick Mutalemwa
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Salim Sadick Mutalemwa
Producer
Lyrics
B Boy
(Joslin)
Mmmmh mmmh
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
[Conboi]
I really can’t get no sleep
Thinkn about you love
I want you close to me
Moyo unakuitaji na iko wazi on the real
Nataka nikueleze ujue exactly how I feel
Zile time tuko alone
Tuko ndani tumechill
Niite basi mpenzi
Na ushajua whats the deal
Unavyoniita mpenzi
Girl,
You know you drive me crazy
Wacha wanione mshenzi
Mi mwenzako sijiwezi
Haipiti siku if I don’t see you I feel ka mwezi
Street **** Ila niko deep na mapenzi
Siambiwi wala siskii Kama ndezi
Utasema kama vile Niko bui na maulevi
Navile unavyonukia so sexy
Marashi unapuliza so freshy
Niite basi mpenzi uwe wangu
Kama Mungu akipenda milele utakuwa wangu
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
[Country Wizzy]
Mi nataka twende kwetu kwa wazazi
Lakini Mpenzi ubadilishe mavazi
Kusudi tukifika wasilete vipingamizi
Njoo basi
Njoo
Mpenzi
Uu
I swear to God huyu mtoto ni pretty
Naweka ndani mama tupate mtoto ikibidi
Siunaona jinsi unavyopoa mapamba,
Mawigi, makopakopa kwa wigi
Mapochopocho kwa fridge
Lazima uwake
Lazima utakate
Itabidi uvimbe
Itabidi uwake
Ukianguka nikianguka unidake
Naimeandikwa kila abiria achunge mzigo wake
Na ndo maana nakuchunga
Nakuahidi mama ntakutunza
Nachokipata nitaleta kwa nyumba
Ata mama alinifunza Mwanamke nyumba
Naitunza
You know
[Joslin]
Ndo maana nasema
Niite wewe [Niite]
Ndo maana nasema
Niite baby [Niite]
Ndo mana nasema
Niite [Niite]
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
Yeah
Niite basi mpenzi uwe wangu
Nikakutambulishe kwa ndugu zangu
Shida zote ulizonazo Niza kwangu
Njoo oo Njoo oo
You know what!!! Haha
It’s DJ Seven man
WorldWide Baby
Written by: Salim Sadick Mutalemwa