Lyrics

(Intro)
Chiby
Ashabooo
Si wanapenda kubang
Verse
Oya chama langu 45 nime-fall
Oyaa oyaaa muhuni wenu nime-fall in love
32, 26 nimefall
Oya oyaa muhuni wenu nimefall in love
Oya
Shamba limepata jembe (eeh)
Ananipenda acha nimpende
Huku nyuma niliingia chaka la kenge
Akanila zote akaniachia kende
Ila guess what!
Chorus
Oya nimempata size yangu
Anayeendana na pochi yangu
Kaniridhia msela, kanipenda kabwela
Oya nimempata size yangu
Wa kienyeji kama mimi
Kanipenda nilivyo, nimempenda alivyo
Ale we anatokea wapi, anatoka kigambonii
Panton buku darajani mia tano toto la kigamboni
Ale we she come from where, anatoka kigamboni
Panton buku darajani mia tano toto la kigamboni
Wuuh!
Verse
Nimelipata jembe
Nawachana coz nimeupata wembe
Kiukweli kanipunguza wenge
Na mtu fudenge mwenye kichwa kama pembe
Mi sipo kamili usipokuwa pembeni yangu
(You know)
We ndo my G, we ndo pacha, ndo msela wangu
Shega hata tukila sembe (eeh)
Vikachumbari,vidagaa lende
Huku nyuma niliingia chaka la kenge
Kiukweli niliyavagaa maseng’enge
Ila guess what!!?
Chorus
Oya nimempata size yangu (size yaangu!)
Anayeendana na pochi yangu (kidogo changu)
Kaniridhia msela (aloo lo lo), kanipenda kabwela
Oya nimempata size yangu
Wa kienyeji kama mimi
Kanipenda nilivyo, nimempenda alivyo
Ale we anatokea wapi, anatoka kigambonii
Panton buku darajani mia tano toto la kigamboni
Ale we she come from where, anatoka kigamboni
Panton buku darajani mia tano toto la kigamboni
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out