Credits
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chiby
Producer
Lyrics
[Intro]
Shemeji mrudie mwana (Solo)
Shemeji mrudie mwana (Si wanapenda kubang)
[Chorus]
Shemeji mrudie mwana (Oyaah! Shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem)
Oyaa! Shem kama shem (Shem kama shem)
Utatutoa roho (Eeh!)
Shem kama shem, utatutoa damu
[Verse 1]
Shem kama shem we ndio copy ya mama mkwe (Copy ya mama mkwe)
Sio kwa dada tu unapendwa na Baba mkwe (Kumaanisha nini?)
Shem juzi kwa kikao kikuu, aliejadiliwa ni wewe tu
Mashemeji wote tumekubaliana mwanetu akuchore tattoo
[Chorus]
Shemeji mrudie mwana (Oyaah! Shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem)
Oyaa! Shem kama shem (Shem kama shem)
Utatutoa roho (Eeh!)
Shem kama shem utatutoa damu
[Verse 2]
Shem ndoa soon tunakuja na posa (Kuja na posa)
Fanya urudi home mwana tutamkosa huyu (Tutamkosa)
Kwanza Shem wahuni tumemis pishi lako
Sisi sote tupo upande wako
Sio Semeni wala Ashura
Hakuna wa kurithi kiti chako
Ebu rudi nyumbani
[Chorus]
Shemeji mrudie mwana (Oyaah! Shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem)
Oyaa! Shem kama shem (Shem kama shem)
Utatutoa roho (Eeh!)
Shem kama shem utatutoa damu
[Verse 3]
Oyaa! Shemeji la dunia we mke wetu miaka mia (Shem lake)
Me si nakwambia hapo tunao na tumepania (Shem lake)
Yeeh! Una nyota kali sana
Mwanetu anakutafakari Sana (Shem)
Nakuchana couple yenu itafika mbali sana (Shem)
[Chorus]
Shemeji mrudie mwana (Oyaah! Shem kama shem)
Shemeji mrudie mwana (Shem kama shem)
Oyaa! Shem kama shem (Shem kama shem)
Utatutoa roho (Eeh!)
Shem kama shem, utatutoa damu
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo