Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Benson
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benson
Songwriter
Lyrics
Aziza ooh mashallah zawadi gani yapenzi nilokupaah
Kwangu we tibaaah uchukiii atakama nikiteleza
Aushangai hali yangu yakipatato oooh
Napata uoga moyo wangu unaenda mbioooooh japo nafanya
Unayoyaona kwamacho ooohoooh ujanishusha kwa yangu matukioooooh
Ivi nini unafanya unipendeee unazidi kunipa mawengeeeeeh
Mashaaalahhhhh ohhhh mayaah ayaaaah
Kama we dawa usinisahau kweny saa we ndo mwamvuli Wangu mwandani
We unanivumilia nikikukosea kichwan mwako wala haunisahau
Bustanini nakipata baridi limekata yanini jangwan nkajilaghai
Mapenzi mshawasha Kwako mini najidai timbwili za nn najidai
Ivi ni nn inafanya unipende oooh unazidi kunipa mawenge
Ivi ni nn inafanya unipendeee oooh unazidi kunipa mawengeeee
Mashaalaah oh my looov
Mashaalah oh maaaya
Written by: Benson