Credits
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
MABANTU
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gachi B
Producer
Lyrics
[Intro]
Niache, the godfather si wanapenda kubeng
Okay let’s go
[Chorus]
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu (Kane)
[Chorus]
Nakula mtaji tutajuaga kesho (Nakesha klabu)
Japo pesa ya maji ila mmetolea jasho (Na-na nakesha klabu)
[Chorus]
Oya mapenzi konyo (Konyo)
Nimeinua mikono (Kono)
Kamanzi kangu na my bestfriend
Nimekuta wanakula mdomo kwa mdomo
[Verse 1]
Skia sasa home kuna huyu nyange madj
Kutwa nyimbo za kizungu sijui anajikuta jiga (Nakesha)
Na kuna jirani ana ki ben 10
Usiku anapelekwa moto kelele ka kuna msiba
[Chorus]
Nakesha club na-na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na-na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu
[Chorus]
Baby kaniacha usiku umezidi kuwa mrefu (Nakesha klabu)
Wezangu wanaelea mi nilizama kina kirefu (Na nakesha klabu)
[Bridge]
Oya wanangu kina (Kina)
Mwananu nilizama kina (Kina)
Nilimpa macho matatu na show za kibabe
Tattoo nikamchora jina (Jina)
[Verse 2]
Skia sasa kusema ukweli nilihudumia ili asipate shida
Ye akaniona danga (Nakesha)
Yaani wala kunihurumia
Licha ya kumfungulia duka
Mpaka nyumba nikapanga
[Chorus]
Nakesha club na-na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na-na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu
[Chorus]
Bado nipo nipo sana mtanikuta kesho (Nakesha klabu)
Leo kitanda changu ni kaunta
Nitalimisi ghetto (Na-na nakesha klabu)
[Bridge]
Oya wanangu ghetto, mi nitalimiss ghetto
Ata nikipata babe nitamaliza na toi
Wanangu sirudi ghetto (Ghetto)
[PreChorus]
Sikia sasa, kuna jirani anajikuta mpwenje
Kutwa dirishani kwangu makelele ya kandanda (Nakesha)
Na kuna swala mi sijalipenda
Home wamenipa scandal ati nauzaga ganja
[Chorus]
Nakesha club na-na nakesha klabu (Leo lifatufa jitu)
Nakesha club na-na nakesha klabu (Ah mtaniua humu)
Nakesha club na-na nakesha klabu
Nakesha club na-na nakesha klabu
Written by: Muuh Mabantu, Mwarami kajonje, Twaah Mabantu, Twarha Kanengo