Top Songs By Meja Kunta
Credits
PERFORMING ARTISTS
Meja Kunta
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Khalid Mwalami Mtumbuka
Songwriter
Lyrics
We dada ukishapenda penda kweli usije kuniacha dolo
Oya we, hunitaki vipi muhuni ndo nishaku-follow
Hatuwezi kuachana leo umenstukiza, ungenipanga mapema nisingejiuliza
Leo-leo mbona tungemaliza, huo ushamba unaolewa nitakuumiza
Weka tena demu wangu nimekupatia shida, kukutongoza kidogo changu
Hiki najitosheleza, kipi ulikosa, ule mchumba ulipata cha ajabu unaniacha
Eti unasema una bahati yako kuda deki napkupenda wewe na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi, nakupenda wewe na huyo bwana wako
Oh jamani kudadeki nakupenda wewe na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi, nakupenda wewe na huyo bwana wako
Oya we (Oya we), oya we (Oya we), oya we (Oya we), oya we (Oya we), oya we (Oya we), oya we (Oya we)
Oya we (Oya we), oya we (Oya we), hane (Oya we), si wanapenda kipenzi (Oya we)
Si ulinifunza nikipata akiba nichange, ili ata kachumba nipange
Nilikuwa sijui ukanifunza michezo ya kwamparange
Ukawatema masponsa vipande ukasema ya nini ni dange
Kumata za mamoshi sigara mibange
Bebe yangu mama mtu (Mi sikuachi), oya kama noma na iwe noma (Nakuachaje sasa)
Mi mwendo wa kung'ang'ania kama ruba (Mi sikuachi), maaana muhuni nshagharamia (Nakuachaje sasa)
Bebe yangu mama mtu (Mi sikuachi), ah kutakuzangusha chakra sana (Nakuachaje sasa)
Mi mwendo wa ruba kung'ang'ania kama ruba (Mi sikuachi), maa muhuni nshagharamia (Nakuachaje sasa)
Demu wangu nimekupatia shida kukutongoza kidogo changu, hiki najitosheleza kipi ulikosa
We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha, eti unasema una bahasha yako
Kudadeki nakupenda wewe na huyo bwana wako
Nimesema sikuachi nakupenda wewe na huyo bwana wako
We dada ukishapenda penda kweli usije kuniacha dolo
Oya we, hunitaki vipi muhuni ndo nishaku-follow
Basi kwanza piga makofi, makofi, makofi, makofi, makofi, makofi, makofi
We jagala piga makofi, makofi, makofi, makofi, makofi, makofi, makofi
Iwe ikilala piga makofi, makofi, makofi, makofi
Written by: Khalid Mwalami Mtumbuka