Top Songs By Zuchu
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Producer
Mr. LG
Producer
Lyrics
Mh mh mh
Mh mh mh
Mh mh mh
Mhh
Eh kaja omba nirudia
Kazirejesha salam
Zamani kakumbukia
Ameumisi utamu
Kaacha kopa kalamba garasa
Kaishiwa masikini
Mpeni taarifa za beti mkwasa
Mi simkumbuki sini
He! Mwambieni mwambieni
Mali yake ishaliwa
Aha, apunguze kampeni
Jimbo lishachukuliwa
Hehe! Mwambieni mwambieni
Mali yake ishaliwa
Aha, apunguze kampeni
Jimbo lishachukuliwa
Weh! Kabaki mbe
Mbe arijojo mbe-mbe
Hatari
Mbe arijojo mbe
Kaambulia patupu
Mbe arijojo mbe-mbe
Yuko chali, chali
Mbe arijojo mbe
Mbe mbe mbe
Alidhani ameniadhiri
Alidhani amenikomoa
Mungu akanipa msitiri
Alonipoza nikapoa (Ah!)
Penzi kalijaza ndindindi
Kanimwagia mwemwere-mwemwere
Pole ya kwako kidingi
Wa kudandia ngendere-ngedere
Simu za usiku wa saa sita
Aka staki
Kuni dm insta
Aka staki
Kutwa kujikomentisha
Aka staki
Kujitumisha vipicha
Aka staki
He! Mwambieni mwambieni
Mali yake ishaliwa
Aha, apunguze kampeni
Jimbo lishachukuliwa
Hehe! Mwambieni mwambieni
Mali yake ishaliwa
Aha, apunguze kampeni
Jimbo lishachukuliwa
Weh! Kabaki mbe
Mbe arijojo mbe-mbe
Hatari
Mbe arijojo mbe
Kaambulia patupu
Mbe arijojo mbe-mbe
Yuko chali, chali
Mbe arijojo mbe
He! Kabaki mbe
Mbe arijojo mbe-mbe
Si wa mbele wala nyuma
Mbe arijojo mbe
Si wa kuvutwa sukuma
Mbe arijojo mbe-mbe
Inakuuma eh
Mbe arijojo mbe
Twende kirinkiki-kirinkikiti-kirinkikiti kikiti kikiti
Kirinkikiti-kirinkikiti-kirinkikiti kikiti-kikiti
Twende bah
Skoroba bah, yani bah, yani bah
Yani bah, skoroba bah
Yani bah, aweh
Haha
Kamixlizer
Written by: Zuchu