Music Video

Harmonize X Rich Mavoko - Show Me (Official Music Video)
Watch Harmonize X Rich Mavoko - Show Me (Official Music Video) on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rich Mavoko
Rich Mavoko
Performer
Harmonize
Harmonize
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Rich Mavoko
Rich Mavoko
Songwriter
Harmonize
Harmonize
Composer
Rajab Abdul Kahali
Rajab Abdul Kahali
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Aah, mwenzako I feel so good kipindi nikikuona
Au huo mwendo unafanya kusudi na ulivyoshona
Wakati unakwenda au unarudi wakata kona
Nyuma ka katuni za masudi ulivyonona
[Verse 2]
Eeh! hivi unapenda wa vifua ka roboti (Ama sanamu)
Au wazee wa kununua mwaga noti (Akina Sallam)
[PreChorus]
Ooh oh anita macho kama unaniita, (Aahaa)
Saa sita shepu Vera Sidika (Aahaa)
Anita macho kama unaiita (Aahaa)
Saa sita shepu Vera
[Chorus]
Ahh show me! Show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! Show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)
Aah show me! (Eeh) show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! (Eeh) show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)
[Verse 3]
Umenifinyanga kama dona mmakonde na ndonya
Kama mpira maradona kichuya kona
Na wakisema na mawenge (Waambie werrason)
Wakiringisha peremende (Nitakugawia koni)
[Verse 4]
Chunga kipenzi majaribu (Mabaya sana ooh)
Na wewe ndo dokta wa kunitibu (Niwe salama ooh)
[PreChorus]
Ooh baby anita macho kama unaniita (Aahaa)
Saa sita kiuno ka yondo sister (Aahaa)
Anita macho kama unaniita (Aahaa)
Saa sita kiuno ka yondo sister
[Chorus]
Ahh show me! Show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! Show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)
Aah show me! (Eeh) show me!
Show me! (Unavyodance)
Show me! (Eeh) show me!
Show me! (Waonyeshe unavyodance)
[Chorus]
Asa Mombasa Nairobi (Sakata dance)
Kampala Kigali (Sakata dance)
Zimbambwe Kwatobi (Sakata dance)
Naija Somali (Toto sakata dance)
Wanangu wa Panya Road (Sakata dance)
Chaukucha kwa Sadali (Sakata dance)
Na unyamani biomi (Sakata dance)
Kizonga kwa natali (Toto sakata dance)
[Outro]
Aahaa, aahaa
Aahaa (Unavyodance)
Aahaa, aahaa
Aahaa (Waonyeshe unavyodance)
Written by: Rajab Abdul Kahali, Rich Mavoko
instagramSharePathic_arrow_out