Top Songs By Nadia Mukami
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nadia Mukami
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nadia Mukami
Songwriter
Lyrics
Wewe nani, unanipigia simu kama nani eti niachane mume wako nani
Unajua Nadia kweli mi' ni nani?
We ni nani, unampigia simu kama nani eeh
Ata utoe vya ndani, atarudi hapa kwangu tu nyumbani eeh
Anapenda vidogodogo, mwenzako anavimumunya
Mwanamke unapenda zogo, tafuta jambo hilo la kufanya
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, kubali yaishe ni wangu
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, mwishowe yataisha ni wangu
Hivo vimeseji na kuficha simu havinishtui
Atachoka nawe, kwengine aende, yule hakagui
Kelele ya chura haizui ng'ombe kunywa maji
Kwangu habanduki kwako hatoboki nakwama naye
Anapenda wife material, mwenzako anakudanganya
Mwanamke una kasoro, tafuta jambo hilo la kufanya
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, mwishowe yataisha ni wangu
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, kubali yaishe ni wangu
Me sitakoma, koma, koma, koma
Mi sitakoma, koma, koma, mama eeh
Ntakukomoa komoa, komoa, komoa
Ntakukomoa komoa, komoa msichana wee
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, mwishowe yataisha ni wangu
Oh-oh ni wangu, huyu nasema ni wangu
Oh-oh ni wangu, mwishowe yataisha ni wangu
Written by: Nadia Mukami, Sanaipei Tande