Lyrics

Vishavu vimeanza kunona Kitambi ndo hichi sasa ona Nitazame, nanenepa nanenepa Nami nimempata chioma Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kunitukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Shilingi shilingi shilingi Shilingi yatutoa roho shilingi Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi Shilingi ya ua mapenzi Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana nikasema ova dear Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova
Writer(s): Mbwana Yusuph Kilungi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out