Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Vocals
Jaivah
Lead Vocals
Dj Awakening
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
Salmin Kasimu Maengo
Composer
Sebastian Charles Mwinula
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
S2kizzy baby
Yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
Yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
Yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
Yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
Mwili joto, naumwa, panawasha, panauma
Mwili joto, naumwa, panawasha, panauma
Yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
Najuta, kuokota, okota
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Awe Jaivah
Aah yini? (ah yini?)
Kwenzenjani ? (kwenzenjani ?)
Eh malume (eh malume)
Kwenzenjani ? (kwenzenjani ?)
Ubuhlungu (ubuhlungu)
Hlala phansi (hlala phansi)
Ngikwazi ukukusiza mngani wami
Ah waze wa kuokota kwenye party
Wazee wa mitungi kisha mikasi
Ah na kuvaa mipira hamtaki
Mnaficha nyuma mbele kuko wazi
Ah waze wa kuokota kwenye party
Wazee wa mitungi kisha mikasi
Ah na kuvaa mipira hamtaki
Mnaficha nyuma mbele kuko wazi
Ulipita kwa bibi nyau
Au kwa mpalange (kwa mpalange)
Mzee wa kupanda dau eti hutakaki unyonge
Ulipita kwa bibi nyau
Au kwa mpalange (kwa mpalange)
Ulibeba kimbaumbau
Ama ulipita na kibonge?
Awe
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta nicheki homa, ama U.T.I, nipime damu, ama malaria
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Dokta panawasha, panauma
Panawasha, panauma
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Zombie na sele
Zombie na selemani
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Salmin Kasimu Maengo, Sebastian Charles Mwinula