Lyrics

(Ay, Ayo Trone) Embe parachichi ndo utamu wa penzi lako Mm-mm na kwangu hauachiki Mm-mm na wataniua sitoki kwako Mm-mm nishakuvesha taji Bingwa wa kazi yako unaipatia Mm-mm na ninapokosea we ndo judge Nifunge hata maisha nitakutumikia Mm, mambo pikiji pikiji twajisosomola Penzi si la kienyeji viwango vya dola Mnaotuma vimeseji mnataka kunipora Ananionesha baby mjue nawachora Ooh-ooh eti nikikuona Ooh-ooh naona raha mbona Ooh-ooh eti nikikuona Ooh-ooh naona raha mbona Niliishe chukuchuku ya tunguri paja Hesabu za mwili unirudishe na shule ada Utaanza na nini, kula ndo ule labda We sema mimi nisasambule jaja Mm, oh moyo nakupa moyo Baby, oh, moyo pokea moyo Aah, oh, moyo nakupa moyo Baby, oh, moyo pokea moyo Mambo pikiji pikiji twajisosomola Penzi si la kienyeji viwango vya dola Mnaotuma vimeseji mnataka kunipora Ananionesha baby mjue nawachora Ooh, ah, eti nikikuona Ooh, ah, naona raha mbona Ooh, ah, eti nikikuona Ooh, ah, naona raha mbona (Kamix Lizer)
Writer(s): Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out