Similar Songs
Lyrics
Jay once again
Sweety umenikata mbawa sipai
I never seen before waniache nijidai
Mmh sweet nimesizi niko high
Penzi lako tamu hivyo linanilewesha ka divai
Wananisimanga nakula najilamba
Eti ni ushamba sio mapenzi ah
Kama penzi lingekuwa chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema hayawi yamekuwa
Mimi na wewe ndo forever
Forever, forever, forever
Ndo forever
Forever, forever, forever
Ndo forever
Nimegundua mapenzi huwa yana raha yake tu ukiyajua
Akibandika nakibandua chakula chake duh nakipakua
Ndo nimeshazama, ndo nimeshakwama
Moyo wangu na wake ngumu kuigawanya
Ndo nimeshazama, ndo nimeshakwama
Hata unitake huwezi kunipata mmh
Kama penzi lingekuwa chungwa
Ningelimenya kama chenza
Walisema hayawi yamekuwa
Mimi na wewe ndo forever
Forever, forever, forever
Ndo forever
Forever, forever, forever
Ndo Forever
Writer(s): Sharif Juma, Adam Maingwa
Lyrics powered by www.musixmatch.com