Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chiby
Producer
Lyrics
[Intro]
Mh!
Si wanapenda kubang
Kumaanisha nini?
Eeh! Eeh!
Eeh! Eeh!
[Verse 1]
Let’s go
Tumevuka pasi na mashaka, tumesimama coz tulishakaa (For the name)
Kwa jina la Baba eeh! (Kwa jina la Baba)
Mikiki mikiki kuluka ka, weka uku weka hapa ('Cause)
Kwa jina la Baba, for the name (Kwa jina la Baba)
[Chorus]
'Cause walisema, wakasema
Hatutoboa mwezi siku wala masaa
Nasi tukasema, tukasema
Tunaye mwenyezi jembe baba la baba
[Chorus]
Ona sasa
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tobo!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tobo!
[Verse 2]
Oya hallelujah (Ameen!)
Tushalipa kodi
Waliomba tulale na njaa, wakaamka tumeshiba
'Cuase tuna Mungu sio mwanadamu
Tukimuamini yeye hawezi kutuacha
[Verse 3]
'Cause walisema, wakasema
Hatutoboa mwezi siku wala masaa
Nasi tukasema, tukasema
Tunaye mwenyezi jembe baba la baba
[Chorus]
Tumevuka pasi na mashaka, tumesimama coz tulishakaa
Kwa jina la Baba, kwa jina la Baba
Mikiki-mikiki kuluka ka, weka uku weka hapa
Kwa jina la Baba, kwa jina la Baba
[Chorus]
Ona sasa
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tobo!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa!
Tumetoboa! Tumetoboa! Tumetoboa! Tobo!
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo